Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Yanga wakipata goli wanapita. Sundowns wameshindwa kuwafungua.Yani yanga kama kawaida hawashambulii wote wameamua kuwa mabeki, kazi ya kufunga magoli wamewaachia mashabiki, siyo mbaya wakomae waende hadi matuta ili wafe kiume vizuri