Sundowns wameshindwa kuwafungua Yanga wamebaki na pos kubwa.Hawajafungwa?
Mwendo wa Kushikilia bomba....!Game plan execution vijana wanaifuata vizuri,mwendo wa kushikilia bomba.
Kwanini unaita ushambaUshamba wa mavuvuzela umebaki bongo tuu. South wenyewe wanaimba kwa midomo
Hiyo ndo plan. Au wafunge kwa counterNgoja kwanza, Au Yanga wanataka kwenda matuta?
Labda nusu kijikoYanga anakwenda NUSU
na akija vibaya litamkuta jambo!Kocha wa mamelodi katoka kwa hasira, itakua anaenda kuwafokea ππππ
Tunataka kwenda nusu fainaliNgoja kwanza, Au Yanga wanataka kwenda matuta?
Ukikaza wewe Kwa mmeo inatoshayanga kipindi cha pili sidhani kama watakaza tako
ayo sio makosa football skills za mchezaji ndio zimeishia apo huwezi kuta mtu kama Abdelmonem akifanya upuzi kama uwo ata siku mojaHayo makosa beki yoyote anafanya