FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Mamelodi kipindi cha kwanza walitumia nguvu kubwa kutafuta matokeo.
Sasa wamechoka.
Yanga mkiendelea kukaza mnapata matokeo
 
Masandawana huwa wanatolewa hii hatua, sijui wana nuksi ipi km simba vilee.
Yeah na ndiyo maana nilipoona Tu draw nikajua lazma watoke...

Hawana Kipa bora wa Matuta..

Na hawanaga Historia Nzuri kwenye Matuta kabisa
 
Back
Top Bottom