[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akuuuhUmeamua kukoleza zaidi..[emoji38][emoji38]
Kipa hata hajatumia Nguvu kuudaka π€£π€£Tik taka ya nykkkk
Mkuu,Mzize umbo la kichwa chake tu unaonesha hayupo makin...fuatilien wenye vichwa kama mzize...
MKuu niamini nachokuambia Matuta Masandawana sio wazuri na hawana kipa mwenye Rate ya matuta..
Yanga tayari wametinga Nusu Fainali
Limeliona aiseeLipo
DiarraKwangu Man of the match ni Azizi Ki
Mamalod wa kisuju pole yako.MAMELOD tumeumbuka jaman π«£π«£π«£π«£π«£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Nop Ni ukweli kabisaTunasubiri unabii wako mkuu utimie