FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Nilichofurahi ni Mamelodi kaingia nusu fainali kwa mgongon wa urais wa mwenye timu ...... Hongera yanga mmeionesha Africa kuwa bado hakuna umhimu ww VAR.
Mzize ndio alitakiwa kuwapiga mdudu akakosa umakini😊
 
huyu dogo nae anazingua sana
Japo Mimi Ni Simba ila dogo kaniumiza Sanaaa..

Pia upigaji wa penalty hawakujiandaa mtu Kama Ki Aziz anapiga penalty Kama mchezaji wa UMITASHUMTA 😅

JOB nae holla yaan wamempa kazi DIARRA then mamelod wakajua dawa ya diarra Ni mashuti ya juu juu
 
Hawa V.A.R checker na referee ni wapuuzi tu yaani lile ni gori ukiangakia hata wachezaji wa mamelod walitulia tu kwasababu waliona kabisa ni gori

ndo maana hawa marefa huwa wanapigwa
 
Back
Top Bottom