Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😃😀😁yaani kwao kuwe kama kwenu.naona wamejibu kwa vitendo.NANI YUPO KWAO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😀😁yaani kwao kuwe kama kwenu.naona wamejibu kwa vitendo.NANI YUPO KWAO
Sijaliona. Ningeliona mpira ungeisha 1-0Refa si kachagua kibahasha, kwani we goli haujaliona 😏
Bado Nafasi Ipo 2025Pumbavu Aziz k katuponza anapigaje penati vile🐸🐸🐸🐸🫣🫣🫣
Wafukuze watarudi keshoTatizo madogo wote simba wananicheka mpk nimetamani kuwafukuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Hii mechi imeniuma, ngoja nile savannah akili ikae vzr kwanza
Huyo refa leo tutamtumia majini 🤣🤣🤣🤣Sijaliona. Ningeliona mpira ungeisha 1-0
Kesho andamaneni mashabiki wa Yanga huenda mechi ikarudiwa😁😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unafika mbalii sanaa, au ungeshikilia miguu kabisaa?Refa huyu ningejitolea kumtandikia khanga wahuni wamle nyama, ashukuru sio kombe la mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wananchi wamekutoa mafichoni🤣🤣[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
Watoto wadogo....tuliwaambia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sanaaa.Kweli kabisaa hatimaye chura kashindwa kumzuia tembo kunywa maji
Nakwambia bro,hii game dunia na Africa imeona.Ni wazi mamelodi kabebwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakwambia bro,hii game dunia na Africa imeona.
Yanga alistahili,sio tu goli kuna mambo kibao Mamelody kabebwa.
Sitakaa nitizame CAFCL kaamwee.
Mechi hii iliwaumbua Makolokolo, bila shaka mlibinya sana korodani hadi mkabaki mmeduwaa [emoji851]YANGA WANATINGA NUSU FAINALI [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji111]hongera sana Mtani
Kweli uchawi upoAhly hebu tuwe serious, hawa wakichomoa nakushinda sijui tutaweka wapi sura zetu
#BoraTukoseWote
Hayo maoni yangu,wewe yanakuwashia nini!?Nenda kafuge nyau uko kabla hujaanza kutazama watazamaji walikuwepo wakutosha kwahyo hupunguzi chochote