FT: Mamelodi Sundowns 1-0 Esperence | Robo Fainali | CAF Champions League | Loftus Versfeld | 01.04.2025

Kwa mpira huu wa mazoezi, aise club world cup ikicheza club ya africa wee ichinje tuu kwenye mkeka wako maana huu sio mpira wa quarter final bwana. Timu imefungwa haina ata hamsha hamsha
 

 
Ukitaka kujifunza utanisikiliza ila ukitaka kubishana endelea na msimamo wako.

Ukisema "this decade" (au decade hii kama ulivyotumia wewe) unamaanisha muda maalumu ulioanza na mwaka unaoisha na 0. Kwa kesi ya sasa hivi, "this decade" inaanzia 2020.

Ungesema "for the past decade" (kwa kiswahili sijui utaiwekaje hii labda useme "kwa miaka kumi iliyopita" uachane na neno decade) ndiyo unaweza kumaanisha miaka 10 iliyopita kutokea sasa hivi.
 
Kwa mpira huu wa mazoezi, aise club world cup ikicheza club ya africa wee ichinje tuu kwenye mkeka wako maana huu sio mpira wa quarter final bwana. Timu imefungwa haina ata hamsha hamsha
Timu pekee ambayo walau itaenda kutoa ushindani ni Al Ahly. Wengine hawa watapigwa hadi wachakae
 
Mkuu umeeleza vizuri sana,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…