FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Wachezaji wengi wa Simba quality ndogo mno. Kuanzia Mwanuke, Chilunda, Duchu, na Kazi.
Hapo ndo tunaamini viongozi hawakusajili kwa makini zaidi ya kupiga dili tu.
Kabisa. Hao wachezaji uliowataja ni upuuzi kabisa. Mara nyingi unaona Benchikha analalamika namna wanavyocheza.
 
Timu gani kila mechi lazima iruhusu goli! Yaani wanashindwa kujifunza kwa kaka yao Yanga! Jana kampiga mtu mkono, na bado aliondoka na clean sheet!!
 
Kwahiyo Robertinho kaonewa?
 
Halafu siwaelewi hawa Wachezaji wa Simba why wanapenda kupiga pasi zisizo na mkakati. Pasi lazima ziwe na mkakati sio muradi pasi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…