FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Nyie makolo neng'enekeni tu mje kwenye Domo la mamba safari hii atuwaonei huruma tunawazabua 8 kavu jivunjeni mapema muage michuano kabla ya kikombe akijawakuta
 
Beloiuzdad 3 - 0 Yanga
Simba 2 - 0 Wydad
Au mnazungumzia Mapinduzi Cup?
Umechagua kamechi kamoja ndiyo unakuja eti kukatolea mfano! Hivi si hata wenzako wanaweza kukushangaa.
 
Hivi wale wapemba waliokipiga na yanga jana na hawa jku wepi wakali
kwa mtazamo wangu naona jku wapo vizuri zaidi kuliko wa jana wale
Vipi na simba na jamhuri nani mbovu? Maana wote yanga kawapa 5?
Chagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…