FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Na maisha haya matamu namwachia nani??
Nyie kubalini Mungu alikua upande wenu si kwa kundi hili bovu
Mpira siku zote huenda na bahati. Msimu huu yanga yupo vzr pia ana bahati. Simba mwenzangu sie tujipange tu kwa msimu mwingine aisee. Japo inaumaaa lkn ni tuwapongeze tu wananchi sbb wanestahiki kufika hapa
 
Aucho nae anakosa fainali kisa ujinga ujinga tu
 
Marumo kama vile wanaimarika kadili muda unavyoenda
 
Wale ni wachambuzi sio wachungaji kwa hiyo sio kazi yao kufanya maombi.

Ni kwasababu umeaminishwa kuwa mnachukiwa ila ukiwa unafatilia mwenyewe bila kupata dokezo kwa Manara utaona mazuri yao mengi wanayosema.

Angalia wakiisifia Yanga, Manara anasema wanajipendekeza wakisema negative anasema ni chuki. Hivi ungekuwa ni wewe hapo ungefanyaje?

Oruma leo kawamwagia sifa nyingi kabla ya mechi lakini hujaiona kwasababu wenye bifu nae hawajataka mjue.
 
hawa jamaa hawaamini,
lazima wakubal wanacheza na mabingwa wa kweli

achana na wale mabingwa wa hisani ya mo na karia
 
Mpira siku zote huenda na bahati. Msimu huu yanga yupo vzr pia ana bahati. Simba mwenzangu sie tujipange tu kwa msimu mwingine aisee. Japo inaumaaa lkn ni tuwapongeze tu wananchi sbb wanestahiki kufika hapa
Hapo kwny bahati nakupa likes milion mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…