mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Mtapewa leo baada ya mechiKwa Yanga hii CAF watukabidhi kombe letu mapema🟢🟡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapewa leo baada ya mechiKwa Yanga hii CAF watukabidhi kombe letu mapema🟢🟡
Naikumbuka comment yako vizuri sana,ulisema ndio yanga lazima wapate goli...Huyi geoff lea alikurupuka tu, mm tng mech ile ya kwanza nilisema yanga anaenda fainali yn hta akifungwa sbb nilijua kbs fowad za yanga lzm wafunge goli hta moja. Yn kwa jicho la kimpira unaona kbs yanga km anaenda fainali ila aliamua tu kuropoka
Hao Malumo watulie dawa iwaingie vzr uwanjani kwao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
kweli mkuuSijaona Cha kushangilia hapa hawa malumo sawa Moro kids hakuna timu hapo
Kolo unaniangusha,ata wewe ?umeona mpira katoka nap wapi?
Aliongea bila kufikiria kisawa sawa. Nilikataa kauli yake. Ulikuwa ni upuuzi na kutafuta attention..Mwanangu Jeff Leah sijui hali ipoje huko
Marumo wenyewe ni kama Singida big ya Nchemba, mshindwe wenyewe kuibamiza timu hiyo
jamaa yuko vzr sema kwenye maamuzi kdg anamsogelea chamaMudathir alikuwa anaua game
badala ya kupata attention atapata aibu na kwa domo la manara itachukua muda kuonekana mchambuzi wa maanaAliongea bila kufikiria kisawa sawa. Nilikataa kauli yake. Ulikuwa ni upuuzi na kutafuta attention..
update kwenye chapisho #1Kwani nafanya nini? Punguza shobo
Marumo wamepata kona
Naunga mkono hoja,Yanga irasimishwe kuwa timu ya Taifa
Posho watalipwa na GSM[emoji172]
Sawaupdate kwenye chapisho #1
sio humo ndani;