FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Ila mpunguze mdomo mnakutana na asec mimosa fainali huwa hawapendi kelele. Mi tahadhari tu nawapa.
Tangulieni huko kwa Asec

Nilishasema tangu mwanzo kwamba safari hii mtashabikia timu zote zinazokutana na Yanga ma mwisho mtabaki mnaombea ndege iliyowabeba Yanga ianguke ili Yanga wasifike nchini na Kombe
 
Ulieleta uzi unatakiwa kuleta update za live; sio kukimbilia kufungua uzi na ....
 
Hii kitu nmeahangaa sana
Tulitarajia kukutana ushindani kuanzia kwa mashabiki wao. Hii hali imetupatia Morali sana Yanga k8asi cha kujiona hii mechi ni kama vile tunaicheza pale Avic Town
 
Huyi geoff lea alikurupuka tu, mm tng mech ile ya kwanza nilisema yanga anaenda fainali yn hta akifungwa sbb nilijua kbs fowad za yanga lzm wafunge goli hta moja. Yn kwa jicho la kimpira unaona kbs yanga km anaenda fainali ila aliamua tu kuropoka
Naikumbuka comment yako vizuri sana,ulisema ndio yanga lazima wapate goli...

Geoff lea ni mchambuzi mzoefu kidogo lakini nimeshangaa hapa alivyojitoa akili thus why nkasema hawa si bure kuna milungura ya propaganda inatoka,maana kwa Mudy lolote linawezekana kazoea sana propaganda
 
Second half bado si mnajua dark continent hii atuonani
 
Back
Top Bottom