Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Kivumbi leo🟡🟢🟡🟢🟢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaaayanga wanapenda sifa ndio nni kutaka geoff lea aonekane takataka
Tunahakikisha hamuweki Mb ili mpotee mitandaoni mpaka mwakaniYanga wanafanya maajabu. Simba kazi tunayo mpaka huu msimu uishe tutakoma.🤣
Poleni watani hakika mnateseka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ilikuwa wazi. Yanga kwenda fainali.
Tunaoteseka ni sisi Simba na Leah wetu.
Mke wangu ni Yanga sasa narudi nyumbani leo nagomba tu kwanini watoto walifeli mtihani wa mwaka juzi wa majaribio. Yeye kama mke anafanya kazi gani wakati kila kitu anapata?Tutawasimangaaa[emoji23][emoji23]
Namba yake ninayo mkuu ila uwe na mpunga. Huyu mtoto ukiwa na mpunga unamla vizuri tu.Nimefurahi kumuona huyu dada aliekuwa anachambua world cup last year, kumbe hadi huku yuko, sijui anaitwa nani
Mkuu nakuombea Yanga apate goli 3Maombi yenu wadau yanga aongeze goli maana nimeambiwa goli atazofunga yanga ndo game nitayopewa baadae😀😀😀
Kabisa . 🤣🤣Watakomaaa nakwambia,masimango yanaendeleaaaa[emoji23][emoji23]
Dr na dr wanafarijiana[emoji3]Yaani Simba yetu ingekua away tunacheza hivi nakuambia tungekua nusu fainali champions league.
Huyi geoff lea alikurupuka tu, mm tng mech ile ya kwanza nilisema yanga anaenda fainali yn hta akifungwa sbb nilijua kbs fowad za yanga lzm wafunge goli hta moja. Yn kwa jicho la kimpira unaona kbs yanga km anaenda fainali ila aliamua tu kuropokaHivi huwa mnawalipa hawa wachambuzi kuisakama yanga? Yaani asilimia 80 ya wachambuzi huwa wapo negative na yanga,yaani hawajawahi kuwaombea mazuri hata ile ya kinafki,
Mimi nahis kuna mlungula huwa mnawaandalia maana haiwezekani mtu anashindwa hata kuact unafki yeye ni chuki tu ya waziwazi
Kuna siku simba walikutana na Namungo aisee bonge la timu kutoka mtwara sio Yanga wanapangiwa timu rahisi tuuYang wamekutana na mbeya city wanajisifu km wamekutana na Al ahly
Mlikutana na kaizer chief akiwa Hoi bin taabani hivihivi kama Marumo Gallants lakini mlikula chuma nne bila...Yang wamekutana na mbeya city wanajisifu km wamekutana na Al ahly