FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
All the best Yanga, tukumbuke tu hii siyo Yanga ya kina Ditram Nchimbi na Yikpe, hii ni colabo ya AS Vita, Asec Memosa, na Taifa stars.

Angalieni game bila hofu yoyote huu ni utawala wa Yanga sasa kuogopwa Africa nzima.
 
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania.

Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Hivyo matokeo yoyote ya ushindi kwao, au droo yataivusha Yanga na kuipeleka Yanga katika fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza.

Kila la heri kwa Yanga, Taifa zima tupo nyuma yenu[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Piga hao malumo piga sana hao mbususu hadi walie yanga 3.malumk 0 FT

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania.

Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Hivyo matokeo yoyote ya ushindi kwao, au droo yataivusha Yanga na kuipeleka Yanga katika fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza.

Kila la heri kwa Yanga, Taifa zima tupo nyuma yenu[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Weka kikosi cha leo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom