FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Naomba uipende Yanga kwanzaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Me ntakupenda baada ya mechi

Aiseeee naomba kaka yetu umtafuteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚maana atakua anapumulia mashine saiv
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani Leo hata hataki kupita huku kwa bahati mbaya, najua hali yake sahii itakuwa tia tia maji, hayechi yanakuchaa..!!
Mac Alpho baba najua ni ngumu ila jikaze, mbona Kalpana kaweza..?πŸ˜‚
 
Sema wanachukulia sana siriazi...haya mamho hayataki usiriaz kihivyooo watakufa.. πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu ndani leo nacheka mwenyewe na vikombe tu,

Ndugu yangu huko napo patamu leo hatari, issa Final before Final..!!πŸ™Œ
 
Nitakuwepo hapa saa 6 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakishua leo utaambulia maumivu kila kona kama namuona Benzema akitupigia mtu za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…