Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
๐๐๐๐Naomba uipende Yanga kwanza๐๐๐
Me ntakupenda baada ya mechi
Aiseeee naomba kaka yetu umtafute๐๐๐maana atakua anapumulia mashine saiv
Yaani Leo hata hataki kupita huku kwa bahati mbaya, najua hali yake sahii itakuwa tia tia maji, hayechi yanakuchaa..!!
Mac Alpho baba najua ni ngumu ila jikaze, mbona Kalpana kaweza..?๐