FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Naomba uipende Yanga kwanza๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Me ntakupenda baada ya mechi

Aiseeee naomba kaka yetu umtafute๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚maana atakua anapumulia mashine saiv
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yaani Leo hata hataki kupita huku kwa bahati mbaya, najua hali yake sahii itakuwa tia tia maji, hayechi yanakuchaa..!!
Mac Alpho baba najua ni ngumu ila jikaze, mbona Kalpana kaweza..?๐Ÿ˜‚
 
Sema wanachukulia sana siriazi...haya mamho hayataki usiriaz kihivyooo watakufa.. ๐Ÿ˜€
 
Hapa ndio utajua umuhimu wa kuwa kama Lenie
Unakuwa huelewi be wala che.
Mambo kama haya yakitokea, unakuwa zako tu hapo na raha zako zingine.

Mpira anasa Carleen ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nikae kwa utulivu nisubiri Halaand anishangazie madevu.

BTW hongereni bana Numbisa ingawa sijaitoa uvunguni mwa moyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Humu ndani leo nacheka mwenyewe na vikombe tu,

Ndugu yangu huko napo patamu leo hatari, issa Final before Final..!!๐Ÿ™Œ
 
Nitakuwepo hapa saa 6 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wakishua leo utaambulia maumivu kila kona kama namuona Benzema akitupigia mtu za kutosha
 
Back
Top Bottom