FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Hongereni uto kwa kuingia fainali ya mabonanza.

Kaeni mkao wa kushangilia #wenyenchi kwenye Super Cup
 
Natamani wabondwe huko mpaka engineer na Gsm wapoteane huko south mana wanavihelehele Sana...Sasa kilichowapeleka huko wote hao nini? Pamoja na Simba kucheza club bingwa sikuona Mo anaenda Morocco ila hawa sasa du, kweli maskini akipata matako hayaachi kugongana!
We kalumanzira upo
 
Back
Top Bottom