Fainali ilee Yanga ametinga asubuhi kweupeNusu fainal ipo kwenye mikono ya Yanga waamue wenyewe kuiachia
Mkuu hii ni mechi nyepesi sana Kwa Yanga..Dakika 10 za mwanzo zitatoa majibu ya mechi nzima
HakikaHiyo 1B bora wangempa refa
#Live🔴: Marumo Fc Vs Yanga Sc ( 0-0 ) Caf 17/05/2023Wakuu mwenye link ya kuwatch game naomba anitumie
Wakuu mwenye link ya kuwatch game naomba anitumie
Mwenye link share