Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Chumaaa
Kimekataliwa
Kimekataliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutashangilia kuchukua kombeKabisa kabisa, hadi Uto wenyewe wamekosa cha kushangilia, yaani ni kama mechi ya yanga na mtibwa shuga 😂😂
Na mm huku nimeachia moyo ni maandishi tuu hayatoki moyoni..kisa cha kupata pressure mie..Hukufi mama nitakulinda
Boma Liwanza,Marumo hawatoboi ,hawawezi kufunga 4 ili wafuzu 😀 Case Closed! Boma Ye!
hivi fainali huwa hawafuti kadi zoteAucho kadi kaitafuta,ila sio mbaya Sureboy yupo ,atacheza round ya pili.
Karibu Yanga mamaNa mm huku nimeachia moyo ni maandishi tuu hayatoki moyoni..kisa cha kupata pressure mie..
chuki na mahaba upande wa piliSikuangalia mechi yao ya kwanza.
Leo nimebahatika kua sehemu wanaonyesha mechi.
Najiuliza waliokua wanasema Yanga itafungwa waliangalia mech au na wenyewe hawakuangalia? Hapa Naona hawa Marumo ni mediocre team, haina mipango kabisa yet humu nilikua naona watu wanasema Yanga atafungwa nne na ishu kibao
Ndio Mkuu. 🤣🤣Umemuona Atoto na Evelyn Salt
Kweli tens bahat ina nfs kubwa sn, we si unaona njia alopitia yanga hd kufika fainali. Ni nyepesi sn pia shirikisho msimu huu haukua na timu ngumu. Lkn pia ukitoa bht yanga msimu huu wapo vzr sn yn kikosi imara kweli.Hapo kwny bahati nakupa likes milion mkuu