FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Sikuangalia mechi yao ya kwanza.

Leo nimebahatika kua sehemu wanaonyesha mechi.

Najiuliza waliokua wanasema Yanga itafungwa waliangalia mech au na wenyewe hawakuangalia? Hapa Naona hawa Marumo ni mediocre team, haina mipango kabisa yet humu nilikua naona watu wanasema Yanga atafungwa nne na ishu kibao
 
chuki na mahaba upande wa pili
 
Hapo kwny bahati nakupa likes milion mkuu
Kweli tens bahat ina nfs kubwa sn, we si unaona njia alopitia yanga hd kufika fainali. Ni nyepesi sn pia shirikisho msimu huu haukua na timu ngumu. Lkn pia ukitoa bht yanga msimu huu wapo vzr sn yn kikosi imara kweli.
 
Na kuruhusu kote free entrance bado kipigo kikawa pale pale
 
Back
Top Bottom