FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Scara,Kalpana, Greatest of all time & company
status_me_status_IMG-20230221-WA0005.jpg
 
Timu inajiita Yanga SC eti inatokea Tanzania.

Hii ni Madrid ya Spain kabisa,sisi Dunduka FC tunasema hii haikubaliki tunaenda FIFA kushitaki.

Haiwezekani mtu avae kinyago cha mayele kumbe ni benzema, yule mwingine kavaa kinyago cha musonda kumbe vinicius jr...HII HAIKUBALIKI
 
Back
Top Bottom