FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Ila hii hatupotezi
 
Mlioko karibu tupeni updates...
Dakika ya ngapi?
 
Hii simba ni ya kuiacha maana yenyewe haijipendi
 
Kumbe Kuna mechi Leo mbona mambo Yako Kasi sana
 
Tukifungwa hii mechi mi nitafurahi sana

Ndio alarm pekee ya kuamsha viongozi wazembe ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao.

Hata kuiangalia siiangalii, tufungwe tu
Na mukishinda utakuja kutamba kama kungwi ngomani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…