FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Kwa akili hizi mnastahili kuongozwa na Akina Try again na Mangungu. Endeleani kufurahia ya vyura ambaye ana makombe mawili anayapigania msimu huu
Kwani ukiwa shabiki wa Topololoo , halafu hao vyura wakapata hayo makombe wanakuletea chumbani kwako uyaweke kabatini?

Mpira burudani, kama huipati kwenye timu unayoshabikia kaitafute kwenye timu usiyoipenda.

Unadhani Simba ikifanya vibaya ndo mwisho wa burudani? Si unaitazama tu Yanga ikipaisha mapenati unafurahiiii.
 
FB_IMG_17126815332461335.jpg
pyeepyewee... Ile barua imeandikwa kwa kiwango Cha chini Sana, pyepyeeeeee nmefurahi yanga kutolewa... Jinga kabisa.. kutwa kuongea ya yanga wakati litimu lao bovuuuuu. Mamelod sio mzoefu wa CAF .... Mamelod ni sawa na Simba
.. tahira kabisa afu Kuna mazuzu yanashangilia..
 
Simba ss hivi kila timu inajipigia tyuuuu!!
Ww udugu cocacola uko wapi njoo huku [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina stress, kutolewa nyie na masandawanaaa mie kwangu full burudaaaani.
 
Umefika 🤣🤣🤣🤣
Nilijua umezamia Burundi au Kongo kwa kipigo cha leo.
 
Kitendo cha Yanga kufurushwa na masandawana, bas mie roho kwatuuu, sio kutolewa leo? Hata kutochukua ubingwaa, cna shida kabisaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua umezamia Burundi au Kongo kwa kipigo cha leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani hata match ya leo ilikua inanipa hype? Yaan niko kimyaaa km hakijatokea kitu.
 
Jf imetulia... Yale mazuzu yaliyokuwa yanaanzisha nyuzi za yanga yote yamelowaaaa.. 🤣👈
 
Hahaahahah sipati picha hilo group uandishi wao. Humo wazee wa kuchanganya R na L kama wote.
Nimekwambia shule ya msingi tandale......mwaka 1993,,walimu wangu hawakuwah kunifundsha tofauti ya R na L.....mwendo wa kidumu cha maji,ufagio,vifuu,mbolea na hela ya uji....
 
Kwani ukiwa shabiki wa Topololoo , halafu hao vyura wakapata hayo makombe wanakuletea chumbani kwako uyaweke kabatini?

Mpira burudani, kama huipati kwenye timu unayoshabikia kaitafute kwenye timu usiyoipenda.

Unadhani Simba ikifanya vibaya ndo mwisho wa burudani? Si unaitazama tu Yanga ikipaisha mapenati unafurahiiii.

Sasa kama Yanga ikichukua makombe, hiyo furaha utaipatia wapi? Yaani unasubiria jirani yako afirisike ndio upate furaha badala ya kupambana upate ela ili ujifurahishe mwenyewe. Endelea kusubiri kusubiri Yanga ifanye vibaya ili upate hiyo burudani
 
Hahaahahah sipati picha hilo group uandishi wao. Humo wazee wa kuchanganya R na L kama wote.
Nimekwambia shule ya msingi tandale......mwaka 1993,,walimu wangu hawakuwah kunifundsha tofauti ya R na L.....mwendo wa kidumu cha maji,ufagio,vifuu,mbolea na hela ya uji....
 
Sasa kama Yanga ikichukua makombe, hiyo furaha utaipatia wapi? Yaani unasubiria jirani yako afirisike ndio upate furaha badala ya kupambana upate ela ili ujifurahishe mwenyewe. Endelea kusubiri kusubiri Yanga ifanye vibaya ili upate hiyo burudani
Furaha haikosekani, Mfano msimu huu Simba imefanya vibaya ila Vyura fc wamechukua kombe lao la 1 la kufa kiume kwa malalamiko kweli. Sasa hilo tukio ni burudani tosha.
 
Back
Top Bottom