FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

Sie huku wametukatia umeme punde tu baada ya mechi kuanza.....Alafu tunaambiwaga sijui mama anaupiga mwingi daah inaumiza sanaaa

Just imagine toka asubuhi hawajakata, ratiba zao za kukata Ni saa12 Sasa why wanasubiri mpira ukianza ndio wakate so sad!!
 
Wengine tunategemea hapa kupata update ya matokeo lakini imegeuzwa sehemu ya malalamiko matokeo hamna. Dakika ya ngapi na matokeo vipi
 
Huyu jobe anapoteza mpira halafu anashangaa kusubiri mabeki waokoe??? Simba inabidi itafute falsafa kwa wachezaji wake.
 
Sehemu nyingi hali ni hiyohiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…