Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ila pacome ni Takataka zaidi.Huyu Fredy ni TAKATAKA, hakuna mchezaji humo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila pacome ni Takataka zaidi.Huyu Fredy ni TAKATAKA, hakuna mchezaji humo.
Nilitaka nikupe jibu, ila tatizo umeuliza na kutanguliza jibu lakoFabrice ngoma yuko wapi??...au ndio pancha zishamuanza??
Mkuu kampige mtu kichwaHamnamo mchezaji humo
Matokeo?Mpira unakuwa na hatari zaidi golini mwa Simba kuliko unapokuwa golini na mashujaa. Ni madhara ya wachezaji kutojituma.
Dakika ya ngapi huko?Mechi iishe tu, hawa Mashujaa kama wametumwa!
Sehemu nyingi hali ni hiyohiyoSie huku wametukatia umeme punde tu baada ya mechi kuanza.....Alafu tunaambiwaga sijui mama anaupiga mwingi daah inaumiza sanaaa
Just imagine toka asubuhi hawajakata, ratiba zao za kukata Ni saa12 Sasa why wanasubiri mpira ukianza ndio wakate so sad!!
FT: Mashujaa 0, Simba 1Dakika ya ngapi huko?
Point 3 muhimuFT: Mahujaa 0 - 1 Simba
Mpira umeisha Simba kwa taaaaaabu tumeambulia goli moja.Wengine tunategemea hapa kupata update ya matokeo lakini imegeuzwa sehemu ya malalamiko matokeo hamna. Dakika ya ngapi na matokeo vipi
Si mbayaFT: Mahujaa 0 - 1 Simba
Ft: Mashujaa 0, Simba 1Wengine tunategemea hapa kupata update ya matokeo lakini imegeuzwa sehemu ya malalamiko matokeo hamna. Dakika ya ngapi na matokeo vipi
Tukumbushe matokeo ya utopolo janaMpira umeisha Simba kwa taaaaaabu tumeambulia goli moja.
Sana lakini bado timu yetu haijitambui mkuu.Point 3 muhimu