FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Tuki.
Waki.
.
Kazi ipo
 
Casio wamekuja na toleo jipya la calculator spesho kwa CAFCL. Ina kitufe cha kumtumia zawadi Ibenge, hii inabidi uwe na wifi. Kitufe kingine cha maombi ili Mazembe afungwe leo. Halafu kuna kitufe spesho cha ndege ya SM Algier iishiwe mafuta njiani isifike Dar.
 
Huyo Mazembe kamtoa Red arrow na kakupiga nje ndani miaka yote😀
 
TP mazembe akifanikiwa kushinda leo bado ni tatizo kwa wananchi kwa sababu wanakuwa wamefikisha alama 5 sawa na Yanga,na mbaya zaidi TP Mazembe game yake ya mwisho atakuwa home.
Kwa maana hiyo Yanga badala ya kupiga Dua TP mazembe apoteze wanatakiwa wahakikishe wanapata ushindi game yao na Al hilal
 
Apigwe tu huyo mzembe
 
Mbungi inapigwa haswa hapa, TP Mazembe hapa ni kushikilia bomba tu.
 
Gooooooooooooooooo...... Mazembe noma sana... noama noma sana.... wanatupia cha kwanza dakika ya 15 ya mchezo...













Maneno ya kalkuleta baadae!!
 
Mazembe wakishinda leo..mjue ndo sasa kazi imeanza upyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…