BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Wewe naona calculator yako haijaisha betriTP win
Al Hilal win
Mechi za mwisho
Yanga win
TP draw
Yanga anafuzu na pointi 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe naona calculator yako haijaisha betriTP win
Al Hilal win
Mechi za mwisho
Yanga win
TP draw
Yanga anafuzu na pointi 7
Tuki.Wakishinda itamchelewesha kidogo MC algers ambaye ndiye tishio na ndiye tunakutana naye final match. Mazembe akishinda zote anakuwa na 8 Yanga tukishinda Zote tunakuwa na 10 au hata tukidraw tunakuwa sawa points na TP Mazembe ila tunapita kwa advantage ya ushindi juu yao.
Huyo Mazembe kamtoa Red arrow na kakupiga nje ndani miaka yote😀Hii Tp Mazembe sio sawa na hawa viwete ambao mlikuwa mnashangilia siku ya draw mlivyopangwa nao.
Mlishangilia kwasababu mlijua mnakutana na timu mbovu na ndio maana hizo point 4 mmechukua kwenye timu hiyo hiyo.
Tp Mazembe yupo kwenye vikwazo vya CAF vya kutosajili, Mazembe kaondokewa ja wachezaji wake wa 5 waliokuwa wanaanza 1st eleven.
Tp Mazembe ililazimu kutumia wachezaji wa kikosi B kuja kuziba mapengo ambayo yalikuwa hayana wachezaji.
Tp Mazembe ililazimika kumtumia kipa wake Shaibu kama striker kutokana na wachezaji wa eneo hilo kukosekana.
Tp Mazembe ikija NBC haiwezi kumaliza msimu bila kushuka daraja.
Ni ujinga sana kutamba kumfunga mpinzani ambaye ni dhaifu na kuweka mifano ya ushindi aliowahi kupata dhidi ya Simba kipindi wakati Tp Mazembe alikuwa bora.
VP wale wa dstv n chanels gan wanaoneshaJibu lako hiliView attachment 3197737
Apigwe tu huyo mzembeTP mazembe akifanikiwa kushinda leo bado ni tatizo kwa wananchi kwa sababu wanakuwa wamefikisha alama 5 sawa na Yanga,na mbaya zaidi TP Mazembe game yake ya mwisho atakuwa home.
Kwa maana hiyo Yanga badala ya kupiga Dua TP mazembe apoteze wanatakiwa wahakikishe wanapata ushindi game yao na Al hilal
Chunga, tamaa mbaya - 20 percentWanangu odds za mazembe izo