MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Sasa tulie nini...nyie ndo mnahaha hamjui mshike kipi..mazembe amfunge huyo Mc au mc amfunge TPIkifika saa 6 usiku wa Leo watalia sana
Mazembe akishinda hii mechi ni nzuri sana kwa Yanga.Sijajua Wana Yanga wenzangu wanacho furahia Mazembe kushinda ni kipi? Group halijaa kusaidiwa na mwenzako bali kupambana kushinda mechi zako. Mazembe anayo nafasi ya kufuzu pa
Na kwao ikashindwa kuifunga UtoUchawi upo.
Hii TP mazembe ilifungwaje na uto
Ingecheza hivi na Uto, Uto ingelala mapema.Uchawi upo.
Hii TP mazembe ilifungwaje na uto
Mwenye link
Bado hamjasema.Ingecheza hivi na Uto, Uto ingelala mapema.
Tuko live liveKundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.
MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.
Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na point 5 huku Mazembe akiwa na point 2 nafasi ya nne.
Matokeo ya leo yataleta athari kubwa kuelekea mchezo wa Al Hilal Vs Yanga hapo jumapili.
Azam Sports 1HD watakuwa live, wale wa kustream pitia hapa www.fawanews.com
Hii mechi kuna red ♦️
Njoo hapa.Mwenye link
Sio mchezo ila hili vibe la Watazamaji sio mchezoKila mtu kapania mechi, watauana leo hawa...
shukrani kwa ukumbusho kaka.Chunga, tamaa mbaya - 20 percent