"tuki" dah utopolo wanasikitisha kwa kweliBall boys wa Tz waambiwe tukiwakandaa wafanyee vilevile Malipo ni hapa hapa kwa Mkapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"tuki" dah utopolo wanasikitisha kwa kweliBall boys wa Tz waambiwe tukiwakandaa wafanyee vilevile Malipo ni hapa hapa kwa Mkapa.
Daah we acha tuUlikua unaminya mazaga
Wakifungwa imeisha..Akifungwa kesho itapendeza zaidi😃
Waki ... Wakina nani?Comments za UTO kwenye page za michezo utadhani riwaya 😂 😂 wanaporomosha maelezo marefu.. Halafu ndani yake hukosi maneno, Waki, Tuki, Aki, Inge 😂
Akitoa draw kesho, atalazimika kumfunga mwarabu kuanzia goli tatu,CAF wanaangalia kwanza matokeo ya Head to Head kabla ya GDYanga ana njia mbili
1. Atoe droo kesho kisha aje amfunge MCA. Watalingana point anabidi kuangalia GD. Uto ina -2 mpaka sasa, inabidi apate ushindi wa goli nyingi
2. Afunge mechi zote 2 bila kujali idadi ya magoli itakuwa na 10
chizi ilo achana nalo, litakutemea mate sasa hvHiyo haiwezekani
Sukari ya nini? kwani mie utopolo? mie naongea uhalisiaNiwahakikishie hii mtapandisha sukari
Asante kwa ukumbushoMsisahau, Yanga anacheza jumapili sii kesho
Ndiyo maana nikasema kiufundi. Huwezi ukaelewa hadi ufundishwe. 😂😂😂. Nyie mlipokuwa mnalia ratiba inabana maana ake ni nini?Ni mawazo yak
Walimzuia kinzumbi akaenda fifa wakapigwa banKuna sehemu walikosea nadhani kwenye masuala ya usajili wakafungiwa kusajili. Na bahati mbaya waliuza wachezaji wao wazuri kadhaa kabla.
Mazmbe ya kipindu hicho usiifananishe na Takr taka ya sasaKila la heri friends of simba, TP MAZEMBE
View attachment 3197444
Al Hilal sare tu ya J2 inamuhakikishia kuongoza kundiYanga ana fainali mbili.
Fainali ya kwanza ni hapo kesho akishinda hiyo ana fainali ya pili dhidi MC Alger.
Al Hilal wanahitaji ushindi ili waongoze kundi.
Sidhani kama kutakuwa na mchezo wa kuachiana.
Mkuu, ila mbona Yanga wala hawahitaji hesabu za calc.Mahesabu haya wangeyapiga wakiwa shuleni probably hata wasingekuwa kwenye mpira.
Sio kama wana kipaji, ni kufeli kwao shule ndio kumewafanya wawe hapa walipo.
Now wameanza kujipa kazi ambayo walikuwa wanaikimbia shuleni.
View attachment 3198070
Sasa mimi nifanyaje?Mazmbe ya kipindu hicho usiifananishe na Takr taka ya sasa
Uhalisia upi?Sukari ya nini? kwani mie utopolo? mie naongea uhalisia
Swadaktaa🤣Tuchukue Mfano huu! Hesabu za Yanga zitakuwa rahisi Kufuzu.
Yanga akikopa point Moja kwa mazembe!
Halafu akamfunga Ibenge
Halafu kwa Mkapa akatoa Draw
Yanga anaongoza 🤣🌚
Angola hutoboi,ndipo macho yatapokutoka, halafu yanga anadroo hilal,we mwenyewe unajua alger atachofanywa lupaso, wakati wewe lupaso utadrooDaah we acha tu
Hapa nimebakiza mechi mbili tu, ya kwangu moja na hiyo ya Al Hilal.
Baada ya hapo nitakuwa na fresh mind kama wishful thinking yangu itaenda ninavyotaka.