FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Yanga ana njia mbili
1. Atoe droo kesho kisha aje amfunge MCA. Watalingana point anabidi kuangalia GD. Uto ina -2 mpaka sasa, inabidi apate ushindi wa goli nyingi

2. Afunge mechi zote 2 bila kujali idadi ya magoli itakuwa na 10
Akitoa draw kesho, atalazimika kumfunga mwarabu kuanzia goli tatu,CAF wanaangalia kwanza matokeo ya Head to Head kabla ya GD
 
Mahesabu haya wangeyapiga wakiwa shuleni probably hata wasingekuwa kwenye mpira.

Sio kama wana kipaji, ni kufeli kwao shule ndio kumewafanya wawe hapa walipo.

Now wameanza kujipa kazi ambayo walikuwa wanaikimbia shuleni.

View attachment 3198070
Mkuu, ila mbona Yanga wala hawahitaji hesabu za calc.

Yanga washinde tu mechi 2, watafikisha point 10 ambazo Alger hawezi zifikia.

Kwa upande wa Alger yeye anakuja kutafuta draw tu, anafikisha 9 ambazo Yanga hata akishinda goli 10 kesho hazifikii.
 
Daah we acha tu

Hapa nimebakiza mechi mbili tu, ya kwangu moja na hiyo ya Al Hilal.

Baada ya hapo nitakuwa na fresh mind kama wishful thinking yangu itaenda ninavyotaka.
Angola hutoboi,ndipo macho yatapokutoka, halafu yanga anadroo hilal,we mwenyewe unajua alger atachofanywa lupaso, wakati wewe lupaso utadroo
 
Back
Top Bottom