FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Waarabu walikua na kasi sana mwanzoni,nikajua leo tutapigwa mengi,aisee mwishoni huku wamepelekewa moto hatari,nadhani wamechoka,yawezekana tukatoka suluhu au tukawafunga kipindi cha pili.Nasikitika tu kadi aliyopewa Pacome.
 
Hivi game wachezi 24 wote ni wazee wa team zote najilaum kuuacha usinginzi wangu
Ooh bora ujisaidie ulale mkuu.
Tuachie wajinga sisi tuangalie wazee wenzetu😄
 
Yanga Leo Iko vizuri Sana.

Ingawa nahisi kama miguu ya Pacome haiko fit.
 
Tupeni maua yetu, hii timu sio ya mchezo. Kuihold hadi sasa hawajapata goli ni kazi juu ya kazi.

Ila Waarabu hapa mwishoni walichoka, walianza kwa kasi sana.
Walichoka na walianza kupaniki ila shida wachezaji wa Yanga wakaanza kuleta mpira wa mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…