FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

We subiri tu michuano irejee,utakuja kukimbia comment yako,nakwambia.
 
Huyu kocha aondoke Simba. Haiwezekani hii timu ije kutuaibisha nyumbani, Simba itaenda kuliaibisha taifa huko CAF
 
Ikibidi uongozi Simba uongee na Yanga wamchukie Farid waachane na huyu Okrah
 
Kuna watu muda wote lawama tu kila siku dhidi ya uongozi wa Simba sc, tujifunze kuwa watu wa soka.

Tusiwe hivyo, soka muda mwingine halipo chini ya matakwa na matarajio yetu.

Man city na Chelsea wana kila aina ya mchezaji waliyemtaka lakini kupoteza si ajabu na washabiki wao huelewa soka lilivyo. Nguvu moja.
 
Tz kuna mashabiki basi????hii nchi kuna wapenzi wa ushindi sio mashabiki wa mpira
 
Kinyesi fc wangekumbana na hilal hii hakuna rangi wangeacha kuona..ibenge ni master sana yule mzee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ibenge ana mbinu sana huyo mzee, alipoona wamezidiwa akaanza kutumia long passes za counter attacks ambazo zilikuwa hatari sana kwetu.
 
Tz kuna mashabiki basi????hii nchi kuna wapenzi wa ushindi sio mashabiki wa mpira
Mijitu ya hovyo sana, ushindi dhidi ya Singida Big Stars hakuna aliyemtukana kocha Robertinho wala uongozi zaidi ya kutamba na kukenua meno. Leo kufungwa goli tu la kutanguliwa lawama na matusi chungu nzima ilihali mpira bado unaendelea.

Watu wa hivi hawafai kabisa.
 
Unashauri simba ijifungie bunju au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…