Kwa Ambao Mnasema Simba Ni Iko Sawa, Je kwa Hii Ratiba na Fitness ya Wachezaji Tutatoboa?
Tarehe 11 Tunacheza na Horoya Kwao.
Tarehe 18 Tunacheza na Casablanca Kwa Mkapa
Siku Tatu mbele Tuna Mechi Ngumu na Azam Kwa Mkapa Ambayo tukifungwa Ubingwa wa NBC tuusahau kwa Njia Yoyote inatakiwa tushinde lakini kumbuka Siku Tatu Nyumba Tutakuwa tumecheza Mechi Ngumu Ya Shoka Inayo hitaji Tushinde kwa Mkapa kama Tunataka kusonga Mbele Kimataifa. Yaani itakuwa kama Leo.
Siku Nne Mbele baada ya Kukipiga na Azam mechi ngumu tuna Cheza na Vipers Kwao….
Haya Una Fitness ya Hiyo? Mkisema kishabiki sawa ila kiukweli Simba Tuchague moja