FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Kibuuuuu

Daaaah ila kachezewa na faulo pale
 
44' Henock anafanya kazi nzuri kuondoa hatari langoni kwake.
 
Sawadogo anapiga shutii lakini mpira unatoka nje ya lango.. Alijaribu
 
Huyu refa nae wa mchongo

Sasa pale kuna faulo gani imefanyika?
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko ambapo Al Hilal wapo mbele ya bao moja.

Free Kick kuelekea Simba, Inapigwa kulee lakini mpira unapaa nje ya lango

Naaam mpira ni mapumziko | SIMBA SC 0-1 AL HILAL
 
Naifananisha Simba na gari bovu, trip Moja barabaran trip inayofatia lipo gereji
 
Guadiola kama anaonekana kuna kitu hajafurahishwa nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…