FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

59' Ametoka Jimmy, Banda, Kibu, Gadiel na Wameingia Chama, Sakho, Hussein, Kapombe.

Simba SC [emoji881]
 
Unaweza ukawa na hoja ya msingi ila umeshindwa kujua muda sahihi wa kuiwasilisha
 
62' Kuna mchezaji wa Hilal yupo chini, Refa anasema inuka cheza mpira hizo ni shida zako TU
 
Eneo ni lile lile jirani ya goli
 
Mbrazil amefanya kosa kubwa sana kuja kufundisha timu kama simba. Maana kuna uwezekano mkubwa wa kujichafulia tu CV yake. Bora angebakia zake tu Vipers.
Wakweli amechafua CV yake pakubwa sana, makolo watamfukuza bila huruma
 
Nyoni anakwenda nje na ameingia Mzamiru upande wa Simba
 
Al Hilal wanafanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mkupuo..!
 
Simba wanatafuta kuchomoa bao lakini mambo ni magumu..!
 
Ilikuwa tupigwe nyundo ya pili
 
Looooooo Simba wanakoswa koswa hapa Almanusura Hilal waandike bao
 
Cross ya Sakho aisee imekosa mmaliziaji
 
Kakolanya tena katuepusha hapa na balaa lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…