FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

Ikijitahidi sana makundi. Hawa wanaofanya usajili sijui kama ni watu wa mpira
Nadhani wanataka kuokota okota wa bei rahisi wawape motisha Wakafie uwanjani wafike robo fainali then basi.
 
Simba hiyo takataka inaitwa kogoma sijui walioiokota wapi
 
Wachezaji wa Simba hawajitumi,wanapiga pasi wamesimama,timu inaonekana energy ipo chini sana,kocha ame relax anaona sawa tu,kipa anachelewesha mipira,wanapata nafasi ya ku counter attack wanakimbia kujichelewesha wakisubiri wakabwe kisha mpira warudishe kwa kipa.
Tatizo namba moja ni benchi la ufundi.
Timu inacheza hovyo sana.Kikosi kama cha Namungo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…