Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Mzee wa kuvizia updates. Nadhani imepata somo la kutosha kuhusu mchezo wa sokaSimba bila refa ni maji maji mtupu ..😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kuvizia updates. Nadhani imepata somo la kutosha kuhusu mchezo wa sokaSimba bila refa ni maji maji mtupu ..😂😂
Huyo Saido huwa hana utulivu kabisa, anacheza kama kuku aliyekatwa nusu shingo kisha akaachiwa.Chama simtaki ila angesaidia sana kupenyeza, Saido ana tamaa ya kufunga yeye
RIP mafisangoKwa hawa makolo.....ni halali walikula 5 [emoji113] mnara....
Yaani haka katimu kanawasumbua makolo[emoji23][emoji23]full mkoko first eleven mzima
Simba guvu moya
Mimi ndo futbol Dr [emoji23]Mzee wa kuvizia updates. Nadhani imepata somo la kutosha kuhusu mchezo wa soka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tesekaa tyuuh. Mbna badooo.Kwa hawa makolo.....ni halali walikula 5 [emoji113] mnara....
Yaani haka katimu kanawasumbua makolo[emoji23][emoji23]full mkoko first eleven mzima
Simba guvu moya
Kumbuka mlitolewa kwa aibu na APR, goli 3Kwa hawa makolo.....ni halali walikula 5 [emoji113] mnara....
Yaani haka katimu kanawasumbua makolo[emoji23][emoji23]full mkoko first eleven mzima
Simba guvu moya
Kikosi mkuu....ndo kilitolewa[emoji23]Kumbuka mlitolewa kwa aibu na APR, goli 3