FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Kwa hawa makolo.....ni halali walikula 5 [emoji113] mnara....

Yaani haka katimu kanawasumbua makolo[emoji23][emoji23]full mkoko first eleven mzima

Simba guvu moya
RIP mafisango
 
SSC hii akikutana na Yanga there is no a way kuwa hamtochezea 5 Tena
 
Kwa hawa makolo.....ni halali walikula 5 [emoji113] mnara....

Yaani haka katimu kanawasumbua makolo[emoji23][emoji23]full mkoko first eleven mzima

Simba guvu moya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tesekaa tyuuh. Mbna badooo.
 
Kwa hawa makolo.....ni halali walikula 5 [emoji113] mnara....

Yaani haka katimu kanawasumbua makolo[emoji23][emoji23]full mkoko first eleven mzima

Simba guvu moya
Kumbuka mlitolewa kwa aibu na APR, goli 3
 
Makolo kila mda ukisonga mbele ndo wanazidi kupungua ubora.
shida ni nin kwenu makolo?
 
Imagine hii Simba ndo inakutana na medeana....wazee wa pira speed [emoji23][emoji23]

Makolo wanaweza kimbia mechi
 
Back
Top Bottom