FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

mbwaaa hawaaaaaawaaaa mtakunyaaa misumarii kama mkoo kwa mwamposa leooo na bado penalty ya mlandegeeeee pakashumeee nyiee
 
Bado tuna muda wakutosha.
 
GOOOOOOOOOLLL. GOOOOOOOOOLLL

GOOOOOOOOOLLL

Makolo wamekowa[emoji23][emoji23]
 
Hii game imeshakuwa ngumu tayari baada ya kuruhusu jamaa watangulie, tutegemee low block, kujiangusha mpaka dakika 90.

Kwa jinsi ambavyo Simba Sc haina playmaker, sitegemei magoli zaidi ya moja kwa Simba Sc, kwahiyo 1-2 haiwezekani.
Tunawachapa.
 
Back
Top Bottom