FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!

Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
Kanawe miguu ulale
 
Sio Mara moja nimewahi kuandika hapa kuwa Simba hii bila Chama hawana timu yakutengeneza nafasi za ushindi!, Chama ni mchezaji anayechezesha timu ana create chances kibao..... Benchika Kama atajidanganya kumuacha chama nafasi ya 3 inawahusu nyie makolo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2960]. Utofauti wa Benchika na Robarthno ni Benchika amebebwa na kombe la shirikisho tu hana ubora wowote kumzidi Rob
Uzuri ni kuwa.... benchika hamtaki Chama .....hapa Sasa ndo patamu

Divide and rule [emoji23] [emoji23]
 
Simba timu yetu tatizo sio makocha wachezaji wengi viwango vya chini mpaka awepo Chama ndio timu inakuwa na chemistry
Usijali tunawanywa muda sio mrefu.
wepesi sana hawa
 
Back
Top Bottom