FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Wastani wa SIMBA kutengeneza CHANCES ni mdogo sana..
Kwa mwendo huu , natabiri SIMBA itakuwa na SARE NYINGI ktk NBC LEAGUE...
Unless wabadilike..

Labda CHAMA akirejea kikosini otherwise sioni nani pale akitengeneza nafasi..

Mpo mmejazana wengi humu wana Uto... hamtaki kukubali Haya Mashindano mwaka Huu yamewashinda..!

Ajabu , mtatoweka Kimya Kimya baadae bila Kutuaga .... ! Muwege na tabia ya Kutuaga wenzenu badala ya Kuingia mitini Kimya Kimya..!
 
Wastani wa SIMBA kutengeneza CHANCES ni mdogo sana..
Kwa mwendo huu , natabiri SIMBA itakuwa na SARE NYINGI ktk NBC LEAGUE...
Unless wabadilike..

Labda CHAMA akirejea kikosini otherwise sioni nani pale akitengeneza nafasi..
Ni kweli chama ndie mtu mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi za magoli zaidi
 
HILOLISHIRIIKISHOOOOOO HALINAGA HAYA AMA AIBU ???
 
Sio Mara moja nimewahi kuandika hapa kuwa Simba hii bila Chama hawana timu yakutengeneza nafasi za ushindi!, Chama ni mchezaji anayechezesha timu ana create chances kibao..... Benchika Kama atajidanganya kumuacha chama nafasi ya 3 inawahusu nyie makolo😅😅😅🤭. Utofauti wa Benchika na Robarthno ni Benchika amebebwa na kombe la shirikisho tu hana ubora wowote kumzidi Rob
 
Onana fyeka
Saido fyeka
Phiri fyeka
Sarr awe ni mtu wa sub
 
mmmmmmmmmmmmm hapoo bado drw mnamatusi 👋
Mkifungwaaaaa si.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwenye kugombea walikuwepo, baada ya kuenguliwa kwa kukosa sifa, visingizioo vingiii.
Saw endelea kuangalia futuhi la viti maalum.
 
Back
Top Bottom