kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Wastani wa SIMBA kutengeneza CHANCES ni mdogo sana..
Kwa mwendo huu , natabiri SIMBA itakuwa na SARE NYINGI ktk NBC LEAGUE...
Unless wabadilike..
Labda CHAMA akirejea kikosini otherwise sioni nani pale akitengeneza nafasi..
Mpo mmejazana wengi humu wana Uto... hamtaki kukubali Haya Mashindano mwaka Huu yamewashinda..!
Ajabu , mtatoweka Kimya Kimya baadae bila Kutuaga .... ! Muwege na tabia ya Kutuaga wenzenu badala ya Kuingia mitini Kimya Kimya..!