FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Mlandege wanaamini watashinda hii mechi.
Wanajidanganya!!! Hatarii
50 cent.gif
 
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.

Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
Dah! Pole sana mtoto mzuri. Huyo refa nitamchapa viboko!! Wewe muache tu.
 
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.

Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
Screenshot_20240114-054722_Chrome.jpg

Sijui mi nikachekee wapppi Mtani? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom