FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Hahahaaa. Swahiba hapa nawaza tu sijui watazivalia wapi? 😅😅

#Kikowappi.
Pamoja na kulipambania ili kombe na bado wameshindwa kulipata,wapo unga vibaya mno hawa mbu3,iwapo tungekuwa serious na lile bonanza halafu tutakutana nao kule tungewapiga goli za chini 10
 
Tofauti ya Simba na vikosi vingine hutaina wakilalamika au kutaka kupiga marefa. Simba ni timu kubwa ona timu zote zinaungana kupambana nayo.
Unapigaje mchezaji wenu wa 12, mmewekeza sana kwa mchezaji wa 12 - marefa
 
Halafu anaibuka Kolo mmoja anakwambia Timu ya Wanachi imetukimbia tulipanga tuwapige hata kumi.

Jamani nyyiiie nyyiiie nyyiiie . 😅😅😅
Thubutuu,makolo hamna kitu walichofurahia kwenye lile bonanza kama kutolewa kwa Yanga,walijua kabisa tungekutana nao wangechezea goli za kutosha na tungewala bara na visiwani 😃
 
Pamoja na kulipambania ili kombe na bado wameshindwa kulipata,wapo unga vibaya mno hawa mbu3,iwapo tungekuwa serious na lile bonanza halafu tutakutana nao kule tungewapiga goli za chini 10
😂😂😂
 
Duuh huu uchawi wa Mlandege utakuwa wa Chumbe, hivi timu za Zanzibar hazichezi kimataifa, ili tujue hawa Mlandege huwa wanakuwa hivi hivi na kimataifa au ndio uchawi hauvuki bahari
Hakuna timu hapo, hakuna cha uchawi hauvuki bahari wala nini. Mbona kimataifa wanapigiwaga hapo hapo kwao Zanzibar.
 
Simba inachezea jina tu ila timu hakuna
-324959523.jpg
 
Back
Top Bottom