Mlandege wanaamini watashinda hii mechi.
Wanajidanganya!!! Hatarii
πππKabeeesa!
Hili ndo la msingi bwahahahahahahahahahπ€
Mlandege wanaamini watashinda hii mechi.
Wanajidanganya!!! Hatarii
Upumbavu mtupu.
Toa Saido upuuzi mtupu
Ssar hana hadhi ya kucheza Simba
π€£π€£π€£ Habari zilizozagaa kwa kasi eti Mlandege hakuwahi kushinda mechi yeyote eti. π€£π€£π€£Aibuu yaooo 5imbaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kwani Dakika ya Ngapi π€ ?
Kwenda zako weweeee. π π eti leo unajifanya we sio Kolo. π π uyooooo.Mlatano kaliwa na mlandege π€£π€£π€£π€£π€£
Ila Mzab unanichekesha sana yaani. π€£π€£π€£ lol.Leo kimoko tuu chaliiii
Dah! Pole sana mtoto mzuri. Huyo refa nitamchapa viboko!! Wewe muache tu.Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.
Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
Swahiba Mwasibu huwa haelewekagi eti hapo wakipata kagame ka kujifua wakashinda basi anageuza shilingi. π πNdugu mwasibu leo umekubali π
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.
Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
Ntibazonkiza na John Bocco ni wazee! Hatuwataki!! πMakolo kesho utasikia... hatumtaki benchika
Hatumtaki mangungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kinyonge zaidi. π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna furaha man city kashinda.
Now niko buzzy kutazama AFCON
Nani kasema? π πImeishaaaaa hiyooooooo!!
Kushneyyyyyy!!!!
Ohooo!! π
Halafu mwisho wa siku eti wanakuja kuliwa kiulaiini, na Mlandege!!Hawa ndio walikuwa wanasema yanga kawakimbiaπ π π ...