uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
- Thread starter
- #941
Una maanisha?View attachment 2870953
Naskia harufu naskia _______
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha?View attachment 2870953
Naskia harufu naskia _______
We miso misondo umepigaje hapoMlandege wanaamini watashinda hii mechi.
Wanajidanganya!!! Hatarii
Tukiondoa ushabiki na mapenzi yaliyopitiliza, Simba badooo wana kazi kubwa ya kufanya na sitashangaa kocha hasipomaliza msimuNguvu moya
Ya biriani za mlandege😂😁Una maanisha?
🤣🤣KulikoniMwanasimba huyo kipigo kimemchanganya labda anafikiri we ni Tayana-wog 😁😁😁
😂😁Uto mmefurahi sana sisi kupoteza game
Ingawa ngumu kidogo kwetu.Mimi YANGA damu ila simba wakiona kombe lolote hawaliachi nikikumbuka tanga nalia Sana hakika Simba ni timu ya makombe onana anaenda kubeba kombe la pili afu zwazwa na Yao Yao hawana hata kombe la uji Simba mmeshindikana 🔥🔥🔥🔥
Daima mbele nyuma mwiko forever
Pia mlikula 5 mwaka janaTumekula 70M.
nyie mlikula nini?
Akandwanao katukandaNjoo Uone Tofauti ya Sisi na Wao….
Njoo Nikupe Tofauti ya Kuni na Mbao…