FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Tangaza kabisa wanayanga wasikanyage hapa maana hii mechi haiwahusu.

Kila la heri mnyama ukatafune ndege wako salama.
Wanayanga.
Kuweni V.A.R tu hapa
 
Reactions: K11
Match Day.
Updates...
View attachment 2870242

Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku.
Mashabiki wa kukodishwa watakuwa wanaangalia kwa kujificha huku wanasonya ,,,
 
Kikosi mnakionaje wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…