Vikosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikosi
Sasa tumeshajua aina ya watu tunaobishana naoHuna demu
Kocha anafanya rotation ya makipa kila mechi.Ally alitakiwa kuwepo, hawa urojo wanapaki sana kusubiri matuta
Mwasibu tulia. Ushabiki wa mpira ni burudani tu usiwe serious sana. Hapa hatufanyi mahesabu ya Aziz Ki acha tuinjoi bana kha! 😁Uto mngekaa mbali na jambo letu ingewasaidi sana. Kuliko huu uchizi mnaoleta humu
Bado mnafuatilia? Mna roho ngumu utopolo, vijana wa Luc EymaelKikosi cha Makolo ni kilekile kauka nikuvae
MiaSimba ndio Mia 5
Kipa katokaKona kwa Simba