FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!

Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
Unatafuta nini kwa huu uzi ilihali unajua kuna uzi wa afukon😁😁

We nenda kwa uzi wa afukon ukaishangilie timu ya wenye akili kusoda aka ccm staz.

Tuache mambumbumbu tukamilishe umbumbumbu wetu tukiwa na kombe mlilolitamani ila mkakosa uwezo wa kulitwaa 😁😁
 
Nilichosema…
Yule jamaa Mlandege anaekulaga sana vitoga na Ndege wengine wazuri isipokua popo na bundi leo kaambiwa amle Simba, itakuaje? Atamla Simba au atakomaa na kuendelea kula Ndege?
 
Back
Top Bottom